Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Agosti, 2017

HONGERA MR &MRS WAGUNYA

Picha
TaGEDO KWA MOYO WA DHATI KABISA INAWAPONGEZA MR NA MRS WAGUNYA Wanafamilia ya TaGEDO wanayafuraha kubwa kumkaribisha Mrs DANIEL WAGUNYA kwenye familia ya TaGEDO. karibu sana Mungu awape maisha meme na yenye baraka tele Mr na Mrs WAGUNYA

TaGEDO YAPATA UGENI KUTOKA UJERUMANI

Picha
TaGEDO YAPATA UGENI KUTOKA UJERUMANI, WAFANYA SHUGHULI MBALI MBALI UKIWEMO USAFI WA MAZINGIRA KIGAM BONI, DAR ES SALAAM Vijana kutoka Chuo Cha Munister nchini ujerumani, wametembelea kituo cha Taasis ya Kijamii ya kuendeleza vijana na kina mama katika ujasiriamali hapa nnchini (TaGEDO) kilichopo Kigamboni Dar es Salaam, na kushiriki katika shughuli mbali mbali ikiwemo kusafisha mazingira. viongozi mbali kutoka TaGEDO katika picha ya pamoja na wageni kutoka Ujerumani   Wageni kutoka ujerumani wakishiriki kazi mbali mbali TaGEDO na Greyson M