TaGEDO YAPATA UGENI KUTOKA UJERUMANI
TaGEDO YAPATA UGENI KUTOKA UJERUMANI, WAFANYA SHUGHULI MBALI MBALI UKIWEMO USAFI WA MAZINGIRA
KIGAMBONI, DAR ES SALAAM
Vijana kutoka Chuo Cha Munister nchini ujerumani, wametembelea kituo cha Taasis ya Kijamii ya kuendeleza vijana na kina mama katika ujasiriamali hapa nnchini (TaGEDO) kilichopo Kigamboni Dar es Salaam, na kushiriki katika shughuli mbali mbali ikiwemo kusafisha mazingira.
![]() |
viongozi mbali kutoka TaGEDO katika picha ya pamoja na wageni kutoka Ujerumani |
Maoni
Chapisha Maoni